1 Peter 1:3

3 aAhimidiwe Mwenyezi Mungu, Baba wa Bwana wetu Isa Al-Masihi! Kwa rehema zake kuu ametuzaa sisi mara ya pili katika tumaini lenye uzima kupitia kwa kufufuka kwa Isa Al-Masihi kutoka kwa wafu,
Copyright information for SwhKC